Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Love ukipenda muite DIVA
THE BOSS....ameibuka na kusema hadharani kuwa yeye ni team wemasepetu yaani ni miongoni mwa mashabiki wa kweli yaan wa kufa na kupoma wa mwanadada Wema Sepetu....Kauli hii aliitoa kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM ikiwa ni baada ya wale wanao Mdis (kutoka team nyingine) kuandika kuwa yeye ni kibaraka wa Wema Sepetu.....na kumponda kuhusu mahusiano yake ya kimapenzi na mpenzi wake wasasa ambae ni GK na yule mbunge maarufu hapa nchini aliekuwanae kabla.

Post a Comment